Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tatizo letu linaanzia pale tunapoenda kwenye nyumba za Ibada kwa sababu ya kutafuta ustawi hapa Duniani.
Tunaenda kwenye nyumba zao ili kusaka utajiri, madaraka nk.
Hatufikiri sana kuhusu baada ya kifo.
Leo imefika mahali hata Mwenyezi Mungu anapotuletea mitihani kwenye familia zetu imani yetu tunaielekeza kwenye ulozi.

Katika mazingira kama hayo ni rahisi sana kutekwa na shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…