This is serious hasa ukizingatia kuwa utafiti huu umeendeshwa na FDA yenyewe. Kuna matumaini makubwa kwamba pengine Alzheimer itapata dawa...ugonjwa wa hovyo unaomfanya mtu asahau kila kitu na hata matendo ya kawaida kama kula na kujisaidia hawezi tena. It will be a significant medical breakthrough!