Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hahaha mashairi na vina BTW
 
Huyu mwanmke vipi tena analalaje na chupi wakati yupo na kidume kitandani
 
Mwee tamaduni ya kijinga hiyo mwanamke na mwanaume kitandani hawatakiwi kuwa na kyupi unless mrembo yuko period


Ndiyo maana hata wazungu walipofika Afrika waliita karibu kila kitu katika utamaduni wetu kuwa ni cha kijinga...

Si tamaduni zote zinaendekeza ngono kama mtu mweusi kamanda. Japan huko na hata baadhi ya nchi za Scandinavia ni kawaida kila couple kuwa na chumba chake au kitanda chake. Wana mambo mengine ya kuwaza/kufanya badala ya kugegedana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…