Nadharia za kizamani hizo.
Kama wenyewe wanajipendekeza kuleta pesa tutaachaje.
Mataifa kibao yanakopa na kusaidiwa itakuwa sisi tulioteswa na Azimio la Arusha!!
Yeye mwenyewe amekaa miaka 24 madarakani ametuachia ufukara wa kutisha.
Viwanda vyote alivyotaifisha ameviacha vikiwa mufirisi.