Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hv haiwezekan kwa Rais wa Jamhur kwenda kwenye tukio alaf asiongee na hadhira kwa stail ya kuhutubu yaan akae kwenye kiti apige soga mwishowe aondoke zake???
Kwa marais wa mabara mengine inawezekana.
Barani Afrika rais ni fursa.
Akihudhuria tukio furani waandaaji wanamtumia kama fursa.
Watafanya kila njia aongee neno hata kidogo.
Kwahiyo ataongea kanisani, msikitini, bar mpaka kwenye kijiwe cha kahawa
 
Kesi ya mauji inawahusu.
Huwezi amini maneno ya mchungaji, wachungaji wengi madishi yametikisika
 
Tulikua mwenge stend ya zaman jamaa alidondoka kifafa.
kilikua kipind cha mvua vidume wote tulimkimbia mshkaj kwa dhana kwamba akijamba ushuz wake ukiupata haruf anakuambukiza,
akatokea mdada modo kajitanda vzr tu muonekano wa visiwan akamfunika na mwamvul yule jamaa mpaka alipopata fahamu,
binafs nilijiona dhaif mno hata mdada kanishinda ujasir.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…