Vituko mitandaoni. Tupia chako

Zambian
pastor James Sakara aliwaomba watu wa kanisani mwake wamzike huku akiwa amefungwa kamba na kuwaaminisha kua atafufuka na kurudi ndani ya siku tatu kama jinsi Jesus alivyofanya, kwa bahati mbaya hakuweza kurudi alikutwa tayari alishafariki. Askari polisi wamewashikilia wale watu wote waliyoshiriki kumzika kwa sasa wapo kituoni.

Swali langu sasa hapo watu hao Wanakosa lipi na wakati pastor mwenyewe ndio kaomba azikwe?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…