Vituko mitandaoni. Tupia chako

Eti, wanapiga wezi wa kuku tu. Mijizi na mifisadi ya mali za umma inapeta tu.
Hawa vibaka life yao ni survival of the fittest.
Misplaced anger. Kamata lifisadi limoja lililotajwa kwenye ripoti ya CAG, visha matairi shingoni, mwagia petroli halafu piga kiberiti. Hela lilizoiba zingetumika kwa lengo lililokusudiwa pengine zingemsaidia huyu mwizi wa kuku asiwe hivyo. Tukianza kuchoma mafisadi itasaidia sana wallahi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…