Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwanzo wakati JPM ameingia madarakani mvua iligoma tena nchi nzima. Ilifika kipindi akapiga stop wakuu wa wilaya kutangaza njaa.
 
Mila za kiafrka zngne n kuharibiana mionekano woooi, bora zijifie tu hizo mila zszo na mantiki.

Vuta hisia n maumivu gan aliyapitia wakat wa tukio, s poa asee
Tohara tunaiona ni sawa kwakua na wazungu wanafanya. Kila kibaya cha wazungu na mwafrika lazima akione kinaya. Ushajiuliza maumivu yanayotoka wakati wa mwanaume kutajiriwa?
 
Tohara tunaiona ni sawa kwakua na wazungu wanafanya. Kila kibaya cha wazungu na mwafrika lazima akione kinaya. Ushajiuliza maumivu yanayotoka wakati wa mwanaume kutajiriwa?
  • sjamaanisha hivyo, tohara kwa wanaume imethibitshwa kitaalamu kwamba akiachwa bla kutahiriwa kuna madhara kiafya. Na weng wao hufanyiwa tohara wakiwa watoto wa mwaka mmoja hapo hata maumivu hawez kuyasmulia.
Niambie kwa hao pichani n madhara gan ya kiafya wanayapata endapo wataachwa na midomo yao mizur kama awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…