Vituko mitandaoni. Tupia chako

Watu wengi wameharibu figo na maini kwa kunywa madawa ambayo hayaeleweki eti kisa wanenepeshe mjulus. Just be content with what God gave you na imarisha techniques za mashambulizi tu. Mtu unameza mavidonge yametoka China huko sijui wapi wakati hata hujui kilichomo. Are you serious?
 
Hapo ndo kakonda 😳............ss tufimbo twa pooltable tutaweka wapi sura zetu
 
Nje kidogo ya mada wakuu


Kwa mtu mtu yeyote ambaye ni mwanafunzi wa chuo, na anachangamoto ya mda kwenye kufanya Assignment, Research, term paper au changamoto nyingine yoyote tafadhali njoo inbox. Tutakusaidia kwa haraka na kwa uaminifu mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…