Vituko mitandaoni. Tupia chako

Uko sahihi kabisa mkuu. Hawa mabinti (hasa hawa wa kisasa hawa) hawajui kabisa saikolojia ya wanaume. Binti umemkubali kabisa yaani ndo waifu matirio halafu anaanza kukusimulia jinsi ex wake wa pili alivyokuwa na mjurubeng mkubwa wa kutisha mpaka mara ya kwanza uligoma kuingia.

Unauliza kwa unyonge. Huyu boya mlidumu naye kwa miaka mingapi?

Tangu nikiwa sekandi yia mpaka nilipomaliza chuo na mwaka mmoja wa uraiani. Yeye aliniacha chuo ila tulikuwa tukifunga chuo nakwenda kwake Musoma.

Sasa hapo ukipiga mahesabu kuwa waifu matirio wako katandikwa na njemba hii yenye mjurubeng wa kutisha kwa miaka mi3+ unawaza tu huko chini si kutakuwa kumechakazwa sana? Hapo hapo unamtoa kwenye uwaifu matirio unaamua tu nawe utandike hilo lapulapu halafu usepe.

Na kama kweli umeamua kumuoa basi ni afadhali sana usiulize hilo swali vinginevyo kila ukiwaza ukweli utakaoambiwa utakuwa unasumbuka sana. Yaani Lodge Town unaiona hii hapa kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…