Namba moja 1
mwalimu wa hesabu alikuwa ananiumiza sana kichwa anaandika ubao mzima bila maelezo kama anafundisha ma genius, afu watu wengine sifaaa eti wanaelewa
,ukimuuliza vipi mwalimu mbona hatujaelewa,anajibu Mtaeleweni tu ninyi daaah!,popote alipo yule Msukuma(Basu) namsalimu kwa jina la jamhuri.
Ilifika wakati ilibidi niwe napishana naye mlangoni anaingia mi natoka
Anauliza ..... Unaenda wapi
Me,kupunga upepo Mwl
Mwl,unaona mi nanuka
Aaaaa sigeuki nyuma.