80K? Ina tiviii huko ndani? Sema kama ni buku tuongee [emoji16]
View attachment 1996839
Nzuri sana hii.
Hahaha mapenzi hayanaga kabila kamanda mkalie kimya mtu ambaye humpendi au umemchoka! Mtu unayempenda ukimkalia kimya itakula kwako maana utakayeumia ni wewe!Hujawahi kuniangusha hata siku moja. Nakukubali sana wewe na Wanyaki wote po pote mlipo [emoji16]
View attachment 1996995
Hongera sana kamanda. Huo ndo uanaume sasa [emoji122][emoji122][emoji122]Ha ha ha!! Kuna pisi la kwetu Kenya tulikutana South Sudan, nikalinunulia wine nyingi tu na mazagazaga mengine, kufika chumbani likaniambia bila dollars $100 halivui chupi, tuliagana papo hapo.
Bagosha[emoji23]Hujawahi kuniangusha hata siku moja. Nakukubali sana wewe na Wanyaki wote po pote mlipo [emoji16]
View attachment 1996995