Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nilienda kwenye sherehe ya harusi wasukuma walisherehekea kuoana nikashangaa Baba wa muoaji kachagua mdundiko ngoma ya kizaramu nikashangaa kuwa jamaa nyimbo zao walikua hawana au
 

Kuna wana kwaya walitokea Tanzania kututembelea kanisani, kisha wakawa wanatutembelea nyumba kwa nyumba, ikawa zamu ya kwangu, aise mke wangu aliona siku ndefu maana wale warembo kwa namna walikua wananisalimia, kila mmoja ananipigia magoti mbele ya mke... ha ha ha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…