Vituko mitandaoni. Tupia chako

Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi. Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida. Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia. Kumpa mpumbavu heshima, ni kama kufunga jiwe kwenye kombeo. Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kungoa mwiba mkononi. Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu. Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake. Wamwona mtu ajionaye kuwa mwenye hekima? Nakuambia mpumbavu ni nafuu kuliko huyo.
 
Dada yetu mpambanaji Nataliya ambaye ni mnyanyua vyuma vizito na mtunisha misuli anaonekana kunyanyapaliwa na wanaume, kwa majonzi na masikitiko makubwa analia kwakuwa wanaume wanamuogopa jambo ambalo linamfanya kukosa mchumba au mwanaume wa kuishi naye


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…