Kwa mwanamke mweupe sisi Wasukuma tunaweza kutoa ng'ombe zizi zima na hela zote za pamba. Tena ukiwa mrefu una msambwanda halafu umesoma soma hivi uwiii...
Hii ni awesome idea lazima ifanyiwe kazi, hata 'mgeni' husika akiingia lazima ajue ameingia kwenye maskani ya 'shughuli' hivyo aombe kabisa maji ya kunywa ya kutosha yasiwe mbali na uwanja wa vita yaani yawe yanafikika bila kuharibu kindumbwendumbwe.
Kwa sisi ambao tayari tuko 'dabo' ukileta fundi atengeneze hii kitu lazima utaulizwa uliionea wapi, bora lawama lakini kwani ni mchongo mujarabu.