Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ushauri wa hovyo kabisa huu. Siku wakikutana na baba mtoto kiporo lazima kipashwe tu. Changamoto kubwa iko hapo kwa hawa watu. Hawana msimamo...
Wapo weny misimamo yao bhna, hii n dhana tu watu wamejiwekea. Kuna wanaolewa hawajawa na watt lkn bado wanaendelea na "maeksi" wao, kila mtu na misimamo yake sema ndo watu huwajumuisha wooote bila kujali kuna weny kujitambua😎
 
Tupe kishort story

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Walimuacha mtoto wao wa 5yrs ndani ya soko kwenye banda lao la biashara,.......usiku saa 8,mlinzi akasikia mtoto analia
,mlinzi akawafuata wazazi wake eti walilala kabisa walisema eti walimsahau


Niki kituko kilishangaza jamii wallah

Raia wakasema,wakinga hao,mambo yao wanayajua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…