Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Let ushuhuda kamili sasa. Inakuwaje? Bao la kwanza ni mpaka baada ya lisaa lizima au ni mbwembwe tu? Vijana mna mambo sana!Nilishaga wahi kutumia/kujaribu kupaka mkongo
Aiseeeeee!!..ile mambo siyo kabisa mkuu.
Na hayo ndiyo hudumu sasa [emoji16]
Ndo kwanza namsaka wa kunizalia hilo litoto. Siyo kazi rahisi kama unavyodhani!Ndio, na ndo uchangamke sasa uache uzembe[emoji1787][emoji1787]
Mwe mwe mweeeeh!! Ngosha unakwama wapi ndugu yangu[emoji2369][emoji2369]Ndo kwanza namsaka wa kunizalia hilo litoto. Siyo kazi rahisi kama unavyodhani!
Mambo ni mengi muda ni mchache!Mwe mwe mweeeeh!! Ngosha unakwama wapi ndugu yangu[emoji2369][emoji2369]
[emoji28][emoji28],kama kuvusha bila kutumia labda siku mbili au tatu lakini najua ni vigumu kuamini ila hata sisi ilipomaliza mwaka na ushee ikawa kila tukiwasha tunajua leo siku ya mwisho lakini wapi,ni miezi miwili ya kwanza tu baada ya kujaza ndio ilikaa bila kutumika maana tulisafiriNitakuwa wa mwisho kuamini labla mlikuwa mnachemsha chai mara moja kwa mwezi
Vigeugeu wetu,huyu jamaa hawaeleweki kabisa,kuna muda huelewi anasimamia nini.
Basi endelea kupambana.Mambo ni mengi muda ni mchache!
Huyu serikali ingetowa namba zake ili tumshauri.
Mumshauri nini??Huyu serikali ingetowa namba zake ili tumshauri.
π€£π€£π€£ Ni ushauri tu.Mumshauri nini??
Ushauri wenu hautosaidia lolote,kaeni benchi.
Mtakula kwa macho bwashee[emoji849],[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni ushauri tu.
Endapo nikipata mawasiliano yake nitamushauri
π€£π€£π€£πππMtakula kwa macho bwashee[emoji849],