Moyo wa mwanamke (hasa hawa wa siku hizi) hauleleki. Huwezi kulea moyo wa mwanamke ambaye yeye mwenyewe hajui anataka nini. Kisichojilea hakiwezi kuleleka! Ni kanuni ya jumla.