Nadhani watu huwa wanakwepa gharama...ilishawahi kunitokea mtu niliyekuwa namtegemea akaja opposite kabisa tena huyu mtu mzima sana hata kumpelekea moto ni aibu! Halafu sasa amesafiri kutoka Kibaha huko ndani ndani kuja Dar. Tuliishia tu kula kuku na kucheka kwa furaha sana mahali peupe nikampa nauli akarudi zake Kibaha. Surprisingly tuliishia kuwa marafiki sana mpaka hatimaye akaridhia akani-introdyusi kwa binti yake Husna nikamkula