Hakuna mtu aliye na muda wa kupitia post zote na kuanza kuchambua kituko kipi kipi kimepostiwa na kipi bado. Mtu unaona kitu huko kinakufurahisha unakiweka kumbe kuna mwingine ameshakiweka jana, juzi au asubuhi wewe hujakiona. Tatizo liko wapi hapo kamanda mpaka unaita watu wajinga?
Tupo hapa kufurahishana tu na kurelax; na mambo siyo siriazi kihivyo bana (at least for me!). Tuvumiliane!