moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,152 Reaction score 770,271 Sep 26, 2021 #73,721 Shujaa apongezwa na wenzake
Taavid JF-Expert Member Joined Feb 7, 2018 Posts 8,320 Reaction score 71,084 Sep 26, 2021 #73,722 mawardat said: Oyaaaaaah.......unateseka ukiwa wapi,,,,,,nasubiri ya kupoza maumivu Click to expand... Hebu niache kidogo kichwa changu hakipo sawa kabisa
mawardat said: Oyaaaaaah.......unateseka ukiwa wapi,,,,,,nasubiri ya kupoza maumivu Click to expand... Hebu niache kidogo kichwa changu hakipo sawa kabisa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,513 Reaction score 830,011 Sep 26, 2021 Thread starter #73,727 Dead Man said: Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu... Leo hatuwezi kuongelea habari za mpira Click to expand... Yeah hatuwezi kujadili yaliyokwisha pita.. After all tuna vitu vya maana zaidi vya kujadili
Dead Man said: Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu... Leo hatuwezi kuongelea habari za mpira Click to expand... Yeah hatuwezi kujadili yaliyokwisha pita.. After all tuna vitu vya maana zaidi vya kujadili
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,513 Reaction score 830,011 Sep 26, 2021 Thread starter #73,729
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,513 Reaction score 830,011 Sep 26, 2021 Thread starter #73,730 mawardat said: View attachment 1952853 Click to expand... Uchawi upo..wachawi wapo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,513 Reaction score 830,011 Sep 26, 2021 Thread starter #73,731 mawardat said: HovyoooView attachment 1952854 Click to expand... Ngangaripoa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,513 Reaction score 830,011 Sep 26, 2021 Thread starter #73,732
Muuza viatu JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 3,839 Reaction score 7,924 Sep 26, 2021 #73,733 Dead Man said: Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu... Leo hatuwezi kuongelea habari za mpira Click to expand... Nimepitia biblia yote hakuna sehemu iliyozungumzia mpira kwa namna yoyoye ile nadhan ni sahih kutouzungumzia kwa wiki hii
Dead Man said: Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu... Leo hatuwezi kuongelea habari za mpira Click to expand... Nimepitia biblia yote hakuna sehemu iliyozungumzia mpira kwa namna yoyoye ile nadhan ni sahih kutouzungumzia kwa wiki hii
Muuza viatu JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 3,839 Reaction score 7,924 Sep 26, 2021 #73,735 SHIMBA YA BUYENZE said: Leo ni raha sana ndugu yangu. Kuwafunga Simba hawa wenye makelele yaani safiii Click to expand... Mnamaanisha hapa ndio hampigi kelele wala fujo ???
SHIMBA YA BUYENZE said: Leo ni raha sana ndugu yangu. Kuwafunga Simba hawa wenye makelele yaani safiii Click to expand... Mnamaanisha hapa ndio hampigi kelele wala fujo ???
Muuza viatu JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 3,839 Reaction score 7,924 Sep 26, 2021 #73,740 MK254 said: Nilikua napata kero sana kila Simba wakishinda, kuanzia mtaani hadi ofisini hakukaliki.... Jamaa zangu huko Bongo mashabiki wa Simba wanaonijua mimi wa Jangwani, kwenye Whatsapp najaribu kuwapa salamu wote kimyaaa.... Click to expand... Kwa sabab na nyiny mnatupa kero kuanzia mitandaon hadi mtaan
MK254 said: Nilikua napata kero sana kila Simba wakishinda, kuanzia mtaani hadi ofisini hakukaliki.... Jamaa zangu huko Bongo mashabiki wa Simba wanaonijua mimi wa Jangwani, kwenye Whatsapp najaribu kuwapa salamu wote kimyaaa.... Click to expand... Kwa sabab na nyiny mnatupa kero kuanzia mitandaon hadi mtaan