Vituko mitandaoni. Tupia chako

Fedha haitangazwiii,inajitangaza.
Alafu kwa life ya bongo anakuwa laki tano kwa siku chakula kipi?!
Yaani ni bora uwe masikini wa mali na sio akili,eti laki tano..
Mkumbushe walikuwepo kina Sepetu,wasumbua sana mjini kwa fake life,waulize leo,wanatamani warudishe muda nyuma.
Muhimu tuishi uhalisia,kuna siku mtu unahitaji masaada watu wanakwambia,si unatumia laki tano kwa siku, million 5 unakosaje??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…