Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ahsante babu
 
Hii ikija kwetu itatufaa?!View attachment 1940949
Hii hata Tanzania inafaa,
Siyo kanisani tu, mpaka misikitini.
Wanasiasa ndiyo chanzo cha vurugu kwenye nyumba za ibada.

Kuna muda pia husema uongo kwenye madhabahu, rejea kisa cha mwanasiasa mmoja Tanzania aliyedai kiongozi furani ni mzima wa afya, kumbe haikuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…