Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jamani,mwenzenu mbona siponi mafua, kila baada ya wiki lazima nipatwe na mafua tena makali haswaa,

Mafua yananitesa Sana,shida nini??

Mwenye kujua dawa
Kapime mzio (allergy)...

Kapime UKIMWI na magonjwa mengine yanayoweza kudhoofisha kinga yako ya mwili. Fanya comprehensive physical exam.

Badili mfumo wa maisha yako. Vimazoezi vyepesi vinaweza kusaidia. Na kunywa maji ya uvuguvugu.

Tumia supplements za kuimarisha kinga ya mwili - vitamin C, Zinc...

Njoo unione kwa ushauri zaidi
 
Babu shikamoo

Vumbi,harufu ya mafuta makali,baridi la asubuhi likinipiga tu shida,

Mazingira,hali ya hewa ya huku nilipo si rafiki kwangu,inanitesa

Ukimwi sina


Kila nikiamka napata mchanganyiko wa limao,tangawizi,mdalasini na karafuu nakunywa
,

Nahitaji dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…