WAFRIKA NA UCHAWI HUWAAMBII KITU.
Mashabiki wa timu ya VRA Youngsters ya nchini Ghana, wakiwa wamewabeba mgongoni wachezaji wa timu yao hiyo kuingia uwanjani ili kukwepa kile wanachodai uchawi waliotegewa na wapinzani wao Sokondi Wise Fc.
Pamoja na jitihada zao hizo lakini timu hiyo ilicharazwa bao 3-0.
View attachment 1939209