Vituko mitandaoni. Tupia chako


Nilimuazima James hili koti, jameni mke wangu tulia kwanza pumua kisha tumpigie James na nitaweka simu kwenye spika ili usikie majibu yake.
Kisha hapo nampigia James na kutumia haya maneno "James mpumbavu nilikuazima koti langu ukaenda kufanya yako, haya sasa mke wangu niko naye hapa amepata chupi ndani ya mfuko, hebu ona ulivyo mjinga, mpe mke wangu majibu ya kueleweka"......bro code huwa tunaita bro code maana majibu ya James yatalinda ndoa yangu papo hapo.....hehehe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…