Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mtumishi; kwa nini tuandikie wino na mate yapo? Si urushe tu kapicha kama kule kwenye uzi wa kuselfika tuone? Kuna ugumu gani kufanya hivyo?
Narudia tena: Ogopa matapeli. Wanyaki wote wana misambwanda. No exceptions everrr !!!Mbona nimeshatuma sana tu; usije ukapingua urafiki na mimi kisa sina msambwanda jamani mweeeh
Narudia tena: Ogopa matapeli. Wanyaki wote wana misambwanda. No exceptions everrr !!!
Full usalama hakutakua na maphotophoto km wale utopoloKama kwa kuanzia papo, ngoja nichangamkie fursa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dereva nishushe kituo kijacho..nimechoka kabisa mimiHii nchi yaani dah!
Hata mkulima masikini naye akienda kuuza vimazao vyake ni lazima akamuliwe. Halafu ripoti ya CAG ikitoka watu wameiba mpaka kufuru. Halafu ndio hawa hawa wanajiona wajanja wanajenga majumba ya kushangaza na kusukuma ma Range Rovers. Ukisema utaambiwa unaona wivu...
Kama kweli tungekuwa na dhamira ya kuendelea kwa kodi zote hizi na tozo pamoja na mabilioni ya misaada na mikopo tunayopewa, tungeweza kabisa aisee. Lakini leo hii unakwenda vijijini huko unakuta watu wetu bado masikini wa kutupwa; wakati pesa zinachezewa tu...
View attachment 1930843
Huyu wa kati anaonekana mtata sana,atachomoa betri huyo.
Maamuz yaleyale tu yanayofanywa na waliowengHAPA BUSARA INAHITAJIKA
Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa.Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau chupi yake kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile na khanga moja na kugonga mlango.
Jamaa akamwambia aingie ndani aichukue, Anatoka tu mlangoni anakutana na mumewe anatoka kazini kamuona mkewe kavaa khanga moja na mkononi kashika chupi.
Je wewe ungekuwa ni mume au mchumba wake ungefanya maamuzi gani?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji267][emoji267][emoji1534]
Hahaha[emoji23] DATasS [emoji1550][emoji1550][emoji1550]... Hivi hukomiii?[emoji2099]View attachment 1930846
Kala kuku kala mayaiDunia hii mhh !!!
View attachment 1930916