Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wasukuma sisi huku tunaonewa tu mkuu[emoji24][emoji24]

Ila kwenye kupenda ugali...na ushamba kidogo ni kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]

Hamuonewi maana nimeishi na nyie kipindi nilikua nafanya mradi fulani hospitali ya Bugando, mnaendana na Waluhya yaani ile balaa, ukitaka ugomvi na Mluhya leta mzaha kwenye ugali. Ni mashemeji zangu huku.
 
Mimi japo sina ushabiki wa soccer kivile lakini ni Yanga flani, ujumbe huo ndiyo mtazamo wangu pia.
Kwa mara ya kwanza nimemuelewa Riz1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…