Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pole mkuu. Ulikosea mbinu tangu mwanzo. Umekosa mdada mmoja matata sana halafu very decent yaani...

Pambana nao CCM hao mpaka wakukome. Malizia hasira zako zote huko!
Ccm ni wahuni tu mkuu, sitaki kuumiza kichwa changu na wahuni, ila siku zao zipo mwishoni. Kuhusu yule dada naona haikua risk yangu mkuu, hakuwahi kuonyesha interest despite msg kibao na Uzi juu ila waapi.usinikumbushe machungu aisee maana zile wiki za mwanzo nilipiga kilaji hatari mpaka nikaja kukaa sawa ilinichukua muda, kuna wakati nilijiapiza siingiu tena JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…