Huyo wa pili ni shujaa. Hakupenda rais alivyobadilisha katiba na kujiongezea muda wa madaraka. Na wamepindua vizuri hawakumwaga damu; na wameweka wazi kuwa wanataka katiba irudishwe kama ilivyokuwa (mwisho vipindi viwili tu). Hii ya sasa hawaitambui...