Bro hiyo kitu tulianza kula pale mtaa wa Temeke, kwa Sokota kitambo sana.
Yaani kabla ile night club ya Sugar Ray's haijajengwa pale.
Kulikuwa na mzee mmoja alikuwa anauza hizo "Hashua" miaka hiyo tukiwa wanafunzi.
Yule mzee baadaye alifariki, mwanawe akaja kuendeleza, nadhani mpaka miaka ya hivi karibuni.
Kwahiyo mwaka 2009 ilikuwa inauzwa chini ya mtoto wa hiyo mzee