Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unapata mtu kila siku anakuomba vocha, mimi naanzaje kumuomba yeye!
Kuna......nilikuwa simuombi vocha yaani kazi yangu kusema tu mwezi unaisha bando[emoji3],ananiunga[emoji3]

Sasa kuna siku akaniambia leo sina pesa na ninashida mawardat,naomba unisaidie kiasi fulani,nikashangaa maana mtu mzito[emoji16]

Nilimtumia....akanambia kwakweli sina shida,nilikuwa nakupima tu,huu ni mtihani nilitaka kujua upoje[emoji1787]akanambia nitakurudishia pesa yako,nikamwambia hapana baki nayo,

Sasa we muombe kiasi unajua anauwezo nacho,ata vocha atakupa au la??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…