Nakuzawadia buureeHiyo penso nimeipenda[emoji7]
Na kichongeo[emoji16]
Naweza pia kuja PM tufarijiane? Sisi ndiyo makabila tunayotaniwa sana humu mitandaoni. Inabidi tuwe tunafarijiana sisi kwa sisi mpendwa [emoji16][emoji16][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] mi ni mnyaki.. unaweza kutania upendavyo Shimba.
Karibu mpendwaNaweza pia kuja PM tufarijiane? Sisi ndiyo makabila tunayotaniwa sana humu mitandaoni. Inabidi tuwe tunafarijiana sisi kwa sisi mpendwa [emoji16][emoji16]