Nimekaa nikawaza na kuwazua ..hivi ,hivi vifanyio vyetu vingekuwa penseli si baazi yetu wangebaki na ile sehemu ya ufutio..maana....!!
Au kama zile zao zingekuwa zinahesabu kilometers kila round...
View attachment 1897930
Sent from my Infinix X627 using
JamiiForums mobile app