Sasa ukiwa na watoto wanne na baba itauwaje + na wewe.Najijua kusonga ugali siwezi[emoji16]. Mtaula mbichi[emoji23]
Ugali nasonga mwisho wakula MTU mbili tu.
Kwasababu Gani......kila nikisonga ugali mama ananiambia haujaiva[emoji2902][emoji2902]
Picha ya???
Lazima kuna mahali unakosea. Kwenye kusonga ugali hakikisha maji yamechemka sawasawa na ukiweka unga uache utokote kidogo. Na ufokasi. Siyo unapika ugali huku unachati na mabaharia. Lazima utachemsha tu!Najijua kusonga ugali siwezi[emoji16]. Mtaula mbichi[emoji23]
Ugali nasonga mwisho wakula MTU mbili tu.
Kwasababu Gani......kila nikisonga ugali mama ananiambia haujaiva[emoji2902][emoji2902]
Nasonga kiasi nitakachoweza[emoji16]
Vile nikitia unga naona kuchelewa vile niuache uchemke[emoji16]Lazima kuna mahali unakosea. Kwenye kusonga ugali hakikisha maji yamechemka sawasawa na ukiweka unga uache utokote kidogo. Na ufokasi. Siyo unapika ugali huku unachati na mabaharia. Lazima utachemsha tu!
Mi nimejiwahi nikadaunilodi chap chap. Uko vizuri sana mjukuu wangu. Kila baharia lazima alete pdf huku kwa babu kabla hajaruhusiwa kufika kwa waziri mkuu (PM) wako.Si nikaachia lipicha langu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh.
Bahati nzuri wote mmesinzia hamjaliona[emoji120][emoji120]
Hahahhahaha umeiona???Mi nimejiwahi nikadaunilodi chap chap. Uko vizuri sana mjukuu wangu. Kila baharia lazima alete pdf huku kwa babu kabla hajaruhusiwa kufika kwa waziri mkuu (PM) wako.
Ukifuata hizo hatua hapo juu hutapika ugali mbichi au uliofubaa tena.Vile nikitia unga naona kuchelewa vile niuache uchemke[emoji16]
Ndiyo! Kama unabisha sema niiweke hapa!Hahahhahaha umeiona???
Nyie kondoo jike ndo mmempiga sukari yangu!!!!Jibu[emoji7]View attachment 1891241
[emoji120]Ukifuata hizo hatua hapo juu hutapika ugali mbichi au uliofubaa tena.
Nilikuwa na demu wangu Mchaga kila siku yaani ugali mbichi nikafundisha weee mpaka nikachoka ikabidi tu kumpiga chini. Kwangu mimi ni afadhali demu asiwe na tako lakini ajue kupika ugali sawasawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji870]
Huyo mrembo wa ccm[emoji2902][emoji2902][emoji2902]