Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sasa mbona alikwambia kuwa yupo kwenye ndoa na inaendelea vizuri, salamu gani hiyo mkuu ulimwambia?! [emoji16][emoji16]
We hujawahi kuingia benki ndani ukamsalimia teller na kumuuliza kama jimbo liko wazi? Mimi nishawahi

Kwani kumsalimia mdada mzuri na kujua kama Jimbo liko wazi ni kosa!? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sasa mkuu ndio muuambiane kwa kilugha, niliingiwa na mashaka tu nikasema kuna mtu hapa analeta ufisi [emoji16]
 
Huyu babu yako kila akizeeka iko siku atakuwa mchawi huyu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]babu yangu,hawezi kuwa mchawi[emoji16]

Babu mfukunyuku[emoji3061]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…