Umenikumbusha mchaga akikosa cha kukwiba anachukua nguo yake anaificha halafu anainyatia na kuikwapua na kutokomea nayo [emoji23]Nimejitumia pesa na Sim 2 alafu nikaji text 'Babe nimekutumia pesa.'
Spoil yourself.
I was soo emoshonoooo!
[emoji24]
Wakati anazo mwili mzima kama kibao cha kukatia kashata!!
Mbona nimemuona jamaa kama alitaka kucheka!? 🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️Mmh.. Hii ni mila ama ni udhalilishaji?View attachment 1885598
Mbona nimemuona jamaa kama alitaka kucheka!? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajijua kweli labda umesahau mwezi uliozaliwaHuu uwongo, najifahamu kabisa sina utulivu wowote....
Nyeee [emoji4][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]