Vituko mitandaoni. Tupia chako

Teh Mtumishi umeanza lini kuniwangia? Aisee upendo wetu una nguvu kuliko hata mauti. Sisi ni till the second coming of Jesus[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Haya Mtumishi. Ana bahati huyo bro aliyeokota lulu katika shimo la taka. I hope he knows that. Kabarikiweni sana na matamanio ya mioyo yenu hiyo michanga inayodunda kwa matumaini makubwa na yakatimie...


#MtaachanaTu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…