Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,183
Hakika umesamehewa sema Aminaaa kwa nguvuuuKha!! Akili zangu zilishavurugwa maana nilikua naona kama unayechezea ban hivi karibuni, ila baada ya kukagua vizuri nikagundua mimi ndiye napaswa kutubu....
Dr Godwin Mollel, hao watu bilioni moja walioomba chanjo ni kwa nchi nzima au Burigi peke yake?
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Hii ni poda ya watoto na akina mama (talcum powder). Si ajabu hata sisi tuliitumia bila kujua. Hilo kampuni la Johnson and Johnson lilijua kwa miaka mingi kuwa poda hiyo inasababisha kansa ya kizazi (ovarian cancer) lakini likakaa kimya na kuendelea kupiga hela. Kuna kesi mamia zinaunguruma na wachambuzi wanasema zitagharimu mabilioni ya dola na kitengo husika cha kampuni hili kinaweza kufilisiwa. Ndiyo maana watu wana wasiwasi na chanjo yake ya Covid kwa sababu kampuni lenyewe lina bad reputation na haliaminiki!View attachment 1874753
Hiyo ni mafuta ya kujipaka na huu sio utani, ila kwa sisi tusiojua kingereza hapo wanamaanisha nini
Daah hatari sana mzee wanguHii ni poda ya watoto na akina mama (talcum powder). Si ajabu hata sisi tuliitumia bila kujua. Hilo kampuni la Johnson and Johnson lilijua kwa miaka mingi kuwa poda hiyo inasababisha kansa ya kizazi (ovarian cancer) lakini likakaa kimya na kuendelea kupiga hela. Kuna kesi mamia zinaunguruma na wachambuzi wanasema zitagharimu mabilioni ya dola na kitengo husika cha kampuni hili kinaweza kufilisiwa. Ndiyo maana watu wana wasiwasi na chanjo yake ya Covid kwa sababu kampuni lenyewe lina bad reputation na haliaminiki!
Wazinzi utawajua tuu[emoji3]