Wanabadilisha mpaka Biblia ili kuondoa pronouns za she/he ~ her/him. Hata Mungu eti hatakiwi kurejelewa kama He/Him bali inabidi itafutwe pronoun ambayo ni gender neutral. Yaani hawa jamaa wanaopromoti mambo ya ushoga na mkanganyiko huu wa gender sijui hata lengo lao ni nini.