Lete habari kamili mkuu. Najua ni Mrs. ila nilikuwa sijui kama kaolewa na Msukuma. Huwa anataniana sana na Wasukuma eti washamba na nitashangaa mno kama hubby wake ni Msukuma
Nakukubali sana Mtumishi. Kama kweli umeolewa na Msukuma basi mhongereshe huyo ngosha kwa kujipatia mke mwema ajabu. Mpendane na maisha yenu yakajae upendo huku mkichukuliana na kuvumiliana. Bagosha