Weweeee!
Mwaka 1978 tunamfurusha Idd Amini nilikuwa na miaka 34. Nilitaka hata kujitolea kwenda vitani nikakataliwa kuwa umri wangu ulikuwa umekwenda kidogo.
Msituone hivi wengine humu ni sawa na baba zenu. Na kuanzia leo shikamoo yangu naidai wallahi