Katika ujana wake alikuwa mwanamapinduzi sana tena mwenye fikra zenye kutoa cheche. Ungemsikiliza enzi zile anapambana kumfurusha Idd Amin ungesema naam! Hapa Afrika imelamba dume.
Tatizo lake ni kukaa madarakani muda mrefu na kwa kadri anavyozeeka ndivyo anavyozidi kuharibu kabisa. Aangalie sana wasije wakamwondosha kwa nguvu.