Hahahaha ndo huko kujitoa akili ili uwe juha ndo akili yenyewe
La sivyo maugomvi hata yasiyokua na msingi. Kuna watu hadi wanaziogopaga nyumba zao. Yaaani akitoka kazini anaanza kuwaza akazurure wapi muda uende ili asiende home
True brother,sasa ndo ukute amepata mimba changa na mimba ikukatae aisee km baba hujielewi ndo kipindi ambacho unaweza kufanya kitendo cha ajabu.Mara oohh unanuka jasho,!!,mara oh mafuta/manukato unayopaka yananikera,mara oh ukiniongelesha nitatapika,sitaki harufu ya pombe.Ukirudi mapema kero /ukiwahi home kero
Hapa ndo muda wa kupanga safari za dharura binafsi,jamani wanawake Mungu anawaona
Kapo kamoja kitaa kakijichanganya ene taimu nakapelekea moto. Nasikia vibinti vya Kipare vifupi fupi lakini vitamu balaa. Na ninavyopenda makande basi we acha tu. Nitaleta mrejesho!
Kapo kamoja humu humu JF kakijichanganya ene taimu nakapelekea moto. Nasikia vibinti vya Kipare vifupi fupi lakini vitamu balaa. Na ninavyopenda makande basi we acha tu. Nitaleta mrejesho!