Ni kweli wapinzani ndo wanatuamsha kujua tusiyoyajua,ila hatuwezi kuwaunga mkono kwa harakati zao za vitisho dhidi ya serikali inayojaribu kurudisha tabasamu kwa watu wakeNi Watanzania wenzio mkuu na siyo vizuri kuwaita mbwa. Hatujafikia kwenye uhasama wa hivyo. Hii ni nchi yetu sote na inabidi tuvumiliane tu.
Ila uko sahihi. Bila kiki, kukurukakara na mikasa mambo hayaendi hivyo mama watamkorofisha tu mpaka atakosa uvumilivu. Na hicho ndicho wanachokitaka. Huoni tayari wameshambatiza eti ni Magufuli wa kike?
Ila napenda amsha amsha yao kwa sababu mara nyingi huwa angalau inaonyesha mambo yanayoendelea ambayo bila wao huwezi kuyasikia.
Watakwenda wapi hiyo mwaka 2023? Mnazidi kuwapa presha tu mabinti waliovuka 30 na hawajapata hao husbands. Mshindweeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeshindwa kufika Australia umeishia kwenye dishwasher. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3061]View attachment 1839436