Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Huyo hapana, hapa kwangu kuna panya buku(ile mikubwa)... Watakatafuna hako kadogi ka 'surviver of holocaust' 😬😬🤣🤣🤣🤣[emoji2][emoji2]sema nikuKopeShe ,Akulindielindie[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu anakamata hadi chui,unamuonaje[emoji1]Huyo hapana, hapa kwangu kuna panya buku(ile mikubwa)... Watakatafuna hako kadogi ka 'surviver of holocaust' [emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda chui Vanny lakini sio hawa wetu wa Mara... 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu anakamata hadi chui,unamuonaje[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]chui wa darLabda chui Vanny lakini sio hawa wetu wa Mara... [emoji23]
Kwako haruki! 🤣 🤣 🤣
Nikionaga picha ka hizi huwa kuna feeling flani hivi inaniingiaga, duh 🥶
Duh huyu jamaa zinamtosha kweli?? Kwa vyombo vyetu hivi??
Niuzie mashikio tuuBei uitakayo[emoji10]View attachment 1828858
[emoji15]Nikionaga picha ka hizi huwa kuna feeling flani hivi inaniingiaga, duh [emoji3063]
[emoji3]jamani,labda nikuuzie mbavu[emoji111]Niuzie mashikio tuu