Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mh. rais wetu, Mama Samia.....huyu kijana Makonda hana kazi kwa sasa hapa mjini yupo tu anapiga domo na kueneza umbea pamoja na siri za watu hadharani. Juzi tu alikutwa analia tena baada ya kukosa UDC, kwanini asikamatwe na kurudishwa kwao Mwanza akalime? Kwa kweli anatupotezea muda.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…