Habarini za Sasa hivi wenzangu!!
Juzi Mh. Rais wakati akiongea na Vijana Mwanza, alisema anaandaa mkeka wa DC's DED's na DAS's wengi ni Vijana. Navyojua 98% ya wanakundi hili ni Vijana tena wasomi.
Nichukue nafasi hii kukutakia kila la heri katika majukumu yako mapya wewe utakayebahatika kuingia kwenye mkeka wa Mama!
Ukipata Usisahau kuwa nilikutabiria