financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Kama siyo mibangi mibichi hii basiπMtipesa...π¬
View attachment 1819357
Nimeiona video ya huyu binti. Mjinga sana yaani. Kashusha Vodka karibu lichupa lizima. Anaweza kupata alcohol poisoning na ini pamoja na figo zikazima pale pale. Ila nimeona mahali wamethibitisha kuwa hajafa ila kalazwa hospitalini. Ujana !!!
Kumbe unafahamu? π π πKama siyo mibangi mibichi hii basiπ
Ndiyo naifahamu vizuri mkuu kama michicha hiviKumbe unafahamu? π π π
Naipataje hii T-shirt? I am dead serious!
π¬π¬Ndiyo naifahamu vizuri mkuu kama michicha hivi
Anafanania au
Watakavyofanya makabidhiano DED na DC waliotenguliwa na mama
Haha, nimeiokota FB, ata sikumbuki, random tu. π π π Lakini waweza printisha yako iliyo na maneno hayo kwa wajomba wa t-shirts printing wale, nafkiri hawakosi hukoNaipataje hii T-shirt? I am dead serious!