Vituko mitandaoni. Tupia chako

huu uzi skuiz watu wanajipostia postia tu kila meme wanayokutana nayo hadi unakosa mvuto .
Ndivyo ilivyo kwenye mambo ya wengi mkuu. Kisicho na mvuto kwako chaweza kuwa na mvuto kwa mwingine (ende vaisi vesa). Labda iundwe kamati ya uzi itakayochunguza kipi chenye mvuto kwanza kabla hakijapostiwa. Vinginevyo siri ni moja tu tena rahisi sana. Ukiona kitu hakikuvutii unakausha tu unahangaika na kinachokuvutia. Na hapa tupo kuburudika tu yaani. Mambo siyo siriazi kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…